DTB FC Yabadilisha Jina, Yamtambulisha Rasmi Msemaji Wao Pamoja na Makao Makuu
KLABU ya DTB iliyopanda Ligi Kuu ya NBC kwa msimu ujao imebadilishwa jina rasmi na kuwa Singida Big Stars Football Club. Timu hiyo imefanikiwa kupanda daraja baada ya kuwa na msimu mzuri katika Ligi Daraja la Kwanza na sasa inajiandaa…