×

Tag: Eric Shigongo

Shigongo: Dunia Imemeza Watu wengi Sana Wenye Akili – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amefunguka kupitia Global TV na kueleza kuwa Dunia imemeza watu wengi sana na wengi wao...

READ MORE

Shigongo: Sheria Ya Vileo Ifanyiwe Marekebisho, Ni Wajibu Wa Wazazi Kuwalinda Watoto – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema ili kuhakikisha sheria ya kuwalinda watoto inakuwa na maana, ni lazima kuhakikisha mabadiliko yake...

READ MORE

Shigongo: Bilioni 62 Zimeleta Maendeleo ndani ya Jimbo la Buchosa – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo Jana Julai 9, 2024 amehitimisha ziara yake katika kata ya Bupandwa kwa kusikiliza kero mbalimbali...

READ MORE

Wananchi wa Buchosa Kulipwa Fidia Zao Kabla ya Ujenzi wa Barabara ya Lami

SERIKALI kupitia Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imesema kuwa Wananchi wa Jimbo la Buchosa watalipwa fidia zao kupisha ujenzi wa...

READ MORE

Mbunge Shigongo Aongoza Maadhimisho ya Sherehe ya Simba Day Buchosa

SHEREHE za Simba Day zinaendelea katika maeneo mbalimbali nchini kuelekea kilele chake kitakachofanyika agosti nane mwaka huu katika uwanja wa...

READ MORE

Madaktari Kutoka Korea Kusini Wawasili Nchini Kutoa Huduma za Kitabibu

JOPO la madaktari 24 kutoka Korea Kusini, leo Julai 2, 2022 wamewasili nchini na kupokelewa katika Uwanja wa Ndege wa...

READ MORE

Shigongo Alia na Uzembe wa Serikali Kutofuatili Matumizi ya Pesa za Umma

MBUNGE wa Jimbo la Buchosa kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Erick Shigongo ameishauri Serikali kuweka mfumo thabiti wa kufuatilia matumizi...

READ MORE

Shigongo Aishauri Serikali Juu ya Lugha Maalum ya Kufundishia

MBUNGE wa Jimbo la Buchosa kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Eric Shigongo amehoji juu ya msimamo wa Serikali...

READ MORE

Mbunge wa Buchosa Eric Shigongo Aishauri Serikali Iwekeze Kwenye Kilimo

MBUNGE wa Jimbo la Buchosha Eric Shigongo akitoa hoja Bungeni ameshauri kuwa kama Nchi inataka kurudi kwenye uchumi wa kati...

READ MORE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Aridhishwa na Ujenzi wa Daraja la JPM, Mwanza

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameridhishwa na ujenzi wa daraja la JPM linalounganisha Wilaya ya Sengerema na Misungwi mkoani Mwanza ambapo...

READ MORE

Rais Samia Amlilia Maunda Zorro, Atuma Salamu za Rambirambi Kutokea Marekani

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ambaye yupo nchini Marekani katika ziara yake ya kikazi ametuma...

READ MORE

Heri ya Kuzaliwa Eric Shigongo, Mkurugenzi Mtendaji Global Group

LEO AGOSTI 10, 2021 ni siku muhimu  kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Group LTD na Mbunge wa Buchosa, ...

READ MORE

Wafanyakazi Tanesco Wasimamisha Msafara Wa Shigongo Buchosa

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Buchosa kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo akiwa njiani akitokea katika Kijiji...

READ MORE

Shigongo Atoa Siri ya Mafanikio “Nyie Ni Simba” – Video

 Mkurugenzi Mtendaji wa Global Group, Eric Shigongo akitoa neno leo Machi 8, 2020 mbele ya wanawake, wakati wa hafla...

READ MORE

PADRI AONGOZA MISA YA KUMBUKUMBU MAMA WA SHIGONGO

PADRI wa Parokia ya Ilunga, Bagamoyo, Godefroy Masengo, jana Julai 27, 2019 aliongoza misa ya kumbukumbu ya kifo cha mama...

READ MORE

SHIGONGO Awapa Somo Wanafunzi IFM Wainama Vichwa Chini!! (Picha +Video)

 MKURUGENZI Mtendaji wa Makampuni ya Global Group na Mhamasishaji Maarufu Afrika Mashariki na Kati, Eric Shigongo  jana amewaasa wanachuo...

READ MORE

MKURUGENZI WA GLOBAL GROUP AWEKA HISTORIA USIKU WA TUZO

  MKURUGENZI  Mtendaji wa Global Group, Eric Shigongo usiku wa jana alikuwa miongoni mwa waliokabidhi tuzo  za Tuzo za Sinema...

READ MORE

ERIC SHIGONGO AKIONGEA NA WANANCHI WA TANDALE (Picha +Video)

  Mkurugenzi Mtendaji wa makampuni ya Global Group na mhamasishaji maarufu Afrika Mashariki na Kati, Eric Shigongo, leo ameongea na...

READ MORE

MWILI WA MAMA’KE SHIGONGO KUZIKWA LEO!

MWILI wa mama mzazi wa Mkurugenzi wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo, Bi. Asteria Kahabi aliyefariki dunia Julai 27,...

READ MORE

Waziri Mkuu Amliwaza Shigongo

MAMA mzazi wa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Global Group, Eric Shigongo, Bi Asteria Kahabi Kapela, amefariki dunia alfajiri ya...

READ MORE

TASWIRA YA MSIBA NYUMBANI KWA MAMA WA ERIC SHIGONGO – PICHAZ

NDUGU, jamaa na marafiki wamefika kuungana na waombolezaji na wafiwa wote nyumbani kwa marehemu Mama mzazi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya...

READ MORE

LIVE: Eric Shigongo Akifundisha Mbinu za Kufanikiwa Kimaisha

 Mkurugenzi Mtendaji wa makampuni ya Global Group na mhamasishaji maarufu Afrika Mashariki na Kati, Eric Shigongo, akifundisha kwenye Semina...

READ MORE

Eric Shigongo Kuwapa Mbinu Mpya Wajasiriamali Leo

Mkurugenzi Mtendaji wa makampuni ya Global Group na mhamasishaji maarufu Afrika Mashariki na Kati, Eric Shigongo,  leo atakuwepo kwenye  Semina...

READ MORE

SHIGONGO AHUDHURIA NDOA YA MPWA WAKE MWANZA

  MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Global Group, Eric Shigongo amehudhuria hafla ya sherehe ya mpwa wake aitwaye, Emmanuel Aron....

READ MORE

MWILI WA MWANAHABARI WAZIKWA JIJINI DAR

  WANAHABARI nchini wameombwa kuendeleza amani na upendo katika kumuenzi marehemu, Mayage S. Mayage liyefariki dunia juzi jijini Dar es...

READ MORE

900 Itapendeza Kumbe ni Shabiki wa Chelsea

  MSOMI na ‘bilionea’ aliyejipatia umaarufu hivi karibuni baada ya kutaka kununua nyumba za mnada za mfanyabiashara, Said Lugumi, Dk...

READ MORE

Eric Shigongo Young Entrepreneurs Mentorship Programme

SHIGONGO: Kwa utafiti wangu nimegundua kitu kinachoweza kumsaidia kijana wa Kitanzania kutengeneza utajiri ni elimu ya vitendo na usimamizi, sio...

READ MORE

Hospitali ya Aga Khan Lazima Ibadilike, Vinginevyo Itaendelea Kuchafua Sura ya Kiongozi Wao wa Dini

  WIKI iliyopita nilielezea namna ambavyo nilimpeleka mama yangu Hospitali ya Aga Khan kutibiwa akiwa na tatizo la shingo (Spondylosis),...

READ MORE

Kumbukumbu ya Kifo cha Baba Mzazi wa Eric Shigongo Yafanyika Dar

Agosti 25, 2017 (jana), ilitimia miaka mitano tangu kufariki kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kampuni ya Global Publishers & General Enterprises...

READ MORE

Msiba: Dickson Kagembe Afariki Hospitalini Muhimbili Leo

Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, Eric James Shigongo, kwa kushirikiana na familia ya marehemu Boniphace Shija Kagembe, wanaungana na ndugu,...

READ MORE

Eric Shigongo: Thank You CRDB Bank!

Thank You CRDB Bank! THOUGH there are still some few challenges as many organizations are, all I can say is;...

READ MORE

BABU TALE; Maoni ya Shigongo Hayahusiani na Shoo

Na ABDALLAH MRISHO|MENEJA MKUU GLOBAL PUBLISHERS. MWISHONI mwa wiki iliyopita ulizuka mjadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya Mkurugenzi...

READ MORE

#ProfessionalGathering Jumapili… Kukuza Uchumi Wako Kwenye Kipindi Hiki cha JPM

Isikupite #ProfessionalGathering Jumapili hii… Jinsi ya kukuza uchumi wako kwenye kipindi hiki cha uongozi wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli....

READ MORE

Ujumbe wa Wazi wa Eric Shigongo kwa Diamond Platinumz Wazua Gumzo Mitandaoni

Kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Mhamasishaji na Mwandishi wa Vitabu maarufu Afrika Mashariki na Kati, Eric Shigongo  amemwandikia ujumbe wa...

READ MORE

GLOBAL TV LIVE: Ungana na Eric Shigongo Uzifahamu Mbinu za Kufanikiwa, Leo Ijumaa

Ninahitaji kuzungumza na Watanzania wenzangu namna ya kufanikiwa. Kila inapofika siku ya Ijumaa, nitakuwa nikizungumza na wewe kupitia YouTube Channel yetu...

READ MORE

Eric Shigongo: Ukitaka Kufanikiwa, Delete Marafiki Wasiofaa

MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Global Publishers, na Mhamasishaji Mashuhuri Afrika Mashariki na Kati, Eric James Shigongo amesea kuwa, iwapo...

READ MORE

Eric Shigongo Kufundisha Mbinu za Kufanikiwa, Live Kupitia Global TV Online, Leo Ijumaa

Ni kila siku ya Ijumaa kuanzia saa 10:00 jioni, upate kujifunza mbinu za kufanikiwa katika kipindi hiki kigumu cha uchumi.

READ MORE