Mwili wa Hans Pope Wazikwa Iringa
MWILI wa aliyekuwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Klabu ya Simba na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Klabu hiyo, Zakaria Hans Pope umepumzishwa katika nyumba yake ya milele eneo la Kihesa Mkimbizi mkoani Iringa jana Jumatano…
