Kilichonitokea Baada ya Kubakwa na Kaka Yangu-39
Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale Tabu alipomwambia Dorcas kuhusu tabia ya ukali ya mama Bite. Je, kilifuatia nini? Songa mbele…
Tabu aliniambia kuwa pale kwa mama Bite alikuwa anavumilia mengi kwa sababu alikuwa mkali hata…
