The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

Madee

MADEE: RAHA ILIYOJE KULEA MTOTO

WAKATI wanaume wengi wakisifika kwa kukwepa kulea watoto wao, kwa mwanamuziki wa kitambo kwenye gemu ya Bongo Fleva, Hamady Ally, ‘Madee’ kwake hiyo wala si ishu, anapenda kinoma ulezi. Usije ukashangaa siku ukimuona akiwa…

Madee Afungukia Ndoa Yake

MEMBA wa Kundi la Tip Top Connection ambaye pia ni Mkurugenzi wa Lebo ya Manzese Music Baby ‘MMB’, Hamad Ally ‘Madee’ amefungukia ndoa yake kuwa hawezi kufunga kwa kufuata mkumbo kisa staa fulani amefunga ila atakachofanya ni kufanya…

MADEE afungukia kuchambwa na Wolper

BAADA ya kumwagiwa mkwara mzito, Rais wa Manzese ambaye pia ni mkali katika Muziki wa Bongo Fleva, Hamadi All ‘Madee’ amefungukia ishu ya kuchambwa na msanii wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper kuwa alikuwa sahihi kumchamba kwa kuwa…

Madee, Lulu Mahaba Niue!

STAA wa Bongo Fleva anayejiita Rais wa Manzese, Hamad Ally ‘Madee’ na staa mwenzake wa muziki huo, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ wameibua minong’ono baada ya kuonekana wakiwa wamegandana kama ruba huku wakioneshana mahaba niue.…

Ney ‘Asanda’ kwa Madee

Na ALLY KATALABULA| IJUMAA WIKIENDA| OVER ZE WEEKEND RAPA asiyeishiwa vituko kunako Muziki wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ kidizaini kama amelimaliza bifu ‘amesanda’ kwa hasimu wake, Hamad Ally ‘Madee’…

Tanayzer: Sitamsahau Abdul Bonge

Na MUSA MATEJA| IJUMAA WIKIENDA| OVER ZE WEEKEND MSANII wa Bongo Fleva ambaye ni zao kutoka Kundi la Tip Top Connection, Said Othman ‘Tanayzer’ ameweka wazi kuwa haitatokea hata siku moja kumsahau muasisi wa kundi hilo, Abdul Bonge…

Madee: Sijaishiwa Ubunifu

Na ALLY KATALAMBULA| GAZETI LA AMANI| SHOW BIZ XTRA Rapa asiyechuja kwenye sayari ya muziki wa Bongo fleva ambaye kwa sasa anatamba na ngoma ya ‘Helaa’ Hamadi Ally ‘Madee’ amesema kitendo cha kutoa wimbo wenye maudhui yanayo…

Madee Kupora Simu ni Kiki?

Madee. DAR ES SALAAM: Zikiwa zimepita siku chache tangu msanii wa bongo Fleva na staa wa wimbo ya Pombe, Hamad Ally ‘Madee’ kudaiwa kumpora simu mama mmoja aliyefahamika kwa jina la Mama Makavaka maeneo ya uwanja wa ndege Julius Nyerere…