×

Tag: Madee

FOA ya Mondi, Madee na Roma watia neno

Madee au Rais wa Manzese Music na Roma Mkatoliki, wamekuwa ni watu wa kutaniana mno kiasi kwamba kama hujui ni...

READ MORE

Madee Ampa Neno Kali Mchumba Mpya wa Dogo Janja

RAPA maarufu nchini, Hamad Ally ‘Madee’ amemweleza mpenzi mpya wa kijana wake, Dogo Janja aitwaye Quenlinnah kwa kumwambia ategemee mengi...

READ MORE

Chid Benz Amtangazia Kichapo Madee

WIKI iliyopita tuliishia wakati Madee yupo kwenye tamasha lake jijini Dodoma na kwa bahati mbaya anakutana na tukio la kupopolewa...

READ MORE

MADEE AMCHANA MTU VIWEMBE, ASAKWA NAPOLISI

KATIKA toleo lililopita, Madee aliendelea kuelezea historia ya maisha yake, aliishia pale alipoona maisha ya Sauz siyo kitu, akarejea Bongo....

READ MORE

MADEE UKOROFI WAZIDI, APELEKWA KWA BIBI YAKE

BAADA ya kumaliza simulizi ya Mboto, Kilinge leo inaanza kuangalia maisha yote ya msanii maarufu wa muziki wa Kizazi Kipya,...

READ MORE

MADEE: WATOTO WANGU WANANIONGEZEA SIKU ZA KUISHI

MAMBO vipi mpenzi msomaji, kama kawaida nakuletea mastaa mbalimbali na maisha wanayoishi na watoto wao. Leo tunaye mwanamuziki wa Bongo...

READ MORE

MADEE HACHUKII CHONGE KUFANANISHWA NA MAI ZUMO

  MKALI  wa  Bongo Fleva, Hamad Ally ‘Madee’ ameweka wazi kwamba hachukii kuona watu wakimfananisha binti yake, Chonge na mchekeshaji...

READ MORE

MADEE: RAHA ILIYOJE KULEA MTOTO

WAKATI wanaume wengi wakisifika kwa kukwepa kulea watoto wao, kwa mwanamuziki wa kitambo kwenye gemu ya Bongo Fleva, Hamady Ally,...

READ MORE

Diamond, WCB Wamuombea Ommy Dimpoz kwa Mungu

STAA wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameweka pembeni tofauti zilizokuwepo kati yake na Ommy Dimpoz katika wakati huu ambapo Dimpoz...

READ MORE

Madee: Sioi Mpaka Nimpate Muaminifu

MKONGWE kunako gemu la Bongo Fleva, Hamad Ally ‘Madee’ amefunguka kuwa hajafikiria kuoa mpaka sasa kwa sababu kila anayempata sio...

READ MORE

Madee Afungukia Ndoa Yake

MEMBA wa Kundi la Tip Top Connection ambaye pia ni Mkurugenzi wa Lebo ya Manzese Music Baby ‘MMB’, Hamad Ally...

READ MORE

Madee afungukia bifu lake na Roma

BAADA ya kukaa kimya kwa muda mrefu, hitmaker wa Ngoma ya Sema, Hamadi Ally ‘Madee’ hatimaye amefungukia kile kinachodaiwa kuwa...

READ MORE

Spoti Hausi: Madee Atoa Mkwanja kwa Arsenal Imsajili Aubameyang

SpotiHausi ni kipindi cha #michezo kinacholetwa kwako na #GlobalTVOnline kila #Alhamisi saa 10:00 jioni. Leo mgeni wetu ni Rapa Hamad...

READ MORE

Aslay na Dogo Janja Waiteka Maisha Basement (Video + Pichaz)

Msanii wa Muziki wa Bongo fleva nchini kutoka Tip Top Connection Madee Ally akitoa burudani. Usiku wa kuamkia jana kulitisa...

READ MORE

VIDEO: Gazza Ft. Madee – Nani



READ MORE

VIKATUNI VYAMPUKUTISHA MADEE MILIONI 6

MSANII wa Bongo Fleva, Hamad Ally ‘Madee’ amefunguka kuwa video yake ya Wimbo wa Sikila ambayo aliifanya kwa mtindo wa...

READ MORE

MADEE: SIAMINI KAMA ROMA ALIKWENDA ZIMBABWE

MSANII wa Bongo Fleva, Ahmadi Alli ‘Madee’ anayefanya vizuri na wimbo wake mpya wa ‘Sema’ ametoa povu juu ya wimbo...

READ MORE

MADEE AMTOLEA POVU DUDU BAYA KUHUSU ‘SIKILA’

MSANII wa muziki Bongo Fleva, Madee, anayefanya vizuri na wimbo wake mpya wa ‘SEMA’ amemjibu Dudu Baya aliyedai kuwa wimbo...

READ MORE

MADEE afungukia kuchambwa na Wolper

BAADA ya kumwagiwa mkwara mzito, Rais wa Manzese ambaye pia ni mkali katika Muziki wa Bongo Fleva, Hamadi All ‘Madee’...

READ MORE

JANJARO AANIKA MAISHA YAKE, KUONJA PENZI LA UWOYA!

MOJA kati ya headline zilizosumbua kwenye mitandao ya kijamii hivi karibuni ni uhusiano wa kimapenzi kati ya chalii wa Ngarenaro-Arusha,...

READ MORE

Madee, Lulu Mahaba Niue!

  STAA wa Bongo Fleva anayejiita Rais wa Manzese, Hamad Ally ‘Madee’ na staa mwenzake wa muziki huo, Lulu Abbas...

READ MORE

Darassa Afanya Makamuzi Ya Kihistoria Dar Live (Pichaz na Video)

Darassa akisalimiana na mashabiki wake kabla ya kuanza shoo. Darassa akifanya makamuzi. Mashabiki wakipagawa na ngoma mpya ya muziki (PICHA:...

READ MORE

Kisa Mwezi Mtukufu… Madee Awashangaa Mastaa Wapenda Kiki

NA BONIPHACE NGUMIJE | UWAZI MKALI wa Ngoma ya Hela, Hamad Ally ‘Madee’ amewashangaa baadhi ya mastaa ambao katika Mwezi...

READ MORE

Mwezi Mtukufu… Mapenzi kaa mbali namii

NA ALLY KATALAMBULA | IJUMAA WIKIENDA LEO ni siku ya tatu tangu kuanza kwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ambapo Waislamu...

READ MORE

Mastaa Wavaa Mlegezo si Heshima Kwenu!

Na GABRIEL NG`OSHA| GAZETI LA AMANI| SHOW BIZ XTRA IMEZOELEKA kuwa wasanii ni kioo cha jamii kwa sababu wana nafasi...

READ MORE

Ney ‘Asanda’ kwa Madee

Na ALLY KATALABULA| IJUMAA WIKIENDA| OVER ZE WEEKEND   RAPA asiyeishiwa vituko kunako Muziki wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay...

READ MORE

Tanayzer: Sitamsahau Abdul Bonge

Na MUSA MATEJA| IJUMAA WIKIENDA| OVER ZE WEEKEND MSANII wa Bongo Fleva ambaye ni zao kutoka Kundi la Tip Top...

READ MORE

Madee: Sijaishiwa Ubunifu

Na ALLY KATALAMBULA| GAZETI LA AMANI| SHOW BIZ XTRA Rapa asiyechuja kwenye sayari ya muziki wa Bongo fleva ambaye kwa...

READ MORE

Nay, Madee Hizo Kiki Veepe?

ANDREW CARLOS | IJUMAA NAJARIBU kuyakumbuka maneno ya mwanasaikolojia, William James ambaye aliwahi kusema kuwa, hitaji la kwanza la mwanadamu...

READ MORE

Madee Kupora Simu ni Kiki?

Madee. DAR ES SALAAM: Zikiwa zimepita siku chache tangu msanii wa bongo Fleva na staa wa wimbo ya Pombe, Hamad...

READ MORE

Mastaa Bongo Fleva Wanavyochuana kwa Mikoko!

Na Erick Evarist | Risasi Jumamosi: WASANII wa Marekani walitangulia kwa muda mrefu kabla wasanii wetu wa Bongo Fleva hawajaanza...

READ MORE