Sababu za Utokwaji wa Majimaji Katika Via vya Uzazi vya Mwanamke
TABIBU WA AMANI| GAZETI LA AMANI| AFYA
Uhali gani mpendwa msomaji na mfuatiliaji wa makala hizi za afya. Leo tutakuwa na mwendelezo wa mada tuliyoianza wiki iliyopita.
Wiki iliyopita tuliangalia tatizo la utokaji wa majimaji katika…