Kwa Pamoja Tunaweza Kuzuia Ukatili Wa Kijinsia Dhidi ya Wanawake
HII ni kampeni ya miaka mitano ya kuhamasisha umma ili kuondoa aina zote za ukatili dhidi ya wanawake nchini Tanzania. Kampeni inalenga kujenga/ kuleta vuguvugu la watu katika jamii wanaopinga vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake.…