ODEMBA AELEZA ALICHOAMBIWA NA KANYE WEST
WADAU mbalimbali wa urembo nchini kamwe jina la mwanamitindo maarufu ndani na nje ya Bongo, Miriam Odemba haliwezi kutoka vichwani mwao kwa sababu ya kufanya vyema kwenye tansia hiyo. Pamoja na shughuli ya urembo ambayo mpaka sasa bado…