×

Tag: Miss Tanzania

Halima Kopwe Ashinda Taji la Miss Tanzania Kutoka Mtwara, Rais Samia Kujenga Ukumbi wa Kimataifa Dar -Video

  WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mohamed Mchengerwa amesema Serikali ya Rais Samia imedhamiria kuinua kuinua kiwango cha mashindano...

READ MORE

Tanzania Kutoshiriki Miss World 2021, Sababu ni Hizi

WAKATI zikiwa zimebaki siku kumi kufanyika kwa mashindano ya Miss World, mwakilishi wa Tanzania Juliana Rugamisa hatoweza kwenda sababu zikitajwa...

READ MORE

Basata Yatengua Maamuzi ya Sakata la Miss Tanzania Kwenda Miss World

Baraza la Sanaa la Taifa – BASATA limesema halijaridhia na halijakubaliana na maamuzi ya kumuengua Miss Tanzania 2020/21 Rose Manfere...

READ MORE

Serikali Yampongeza Miss Tanzania na Kumtakia Heri katika Mashindano ya Dunia

Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashugwa amempongeza Mshindi wa Urembo Tanzania (Miss Tanzania) kwa mwaka 2020,...

READ MORE

Basila Aanika Vigezo Vipya Kushiriki Miss Tanzania – Video

  MWANDAAJI na msimamizi wa Shindano la Urembo nchini Miss Tanzania, Basila Mwanukuzi ameanika vigezo vipya kwa washiriki wote wenye...

READ MORE

Miss Tanzania Ajitapa Kutwaa Taji la Miss World

Mrembo anayeshikilia taji la Miss Tanzania 2019-2020 Silyvia Sebastian amejitapa mbele ya Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo, Dkt....

READ MORE

Miss World Atua Arusha – Video

MREMBO namba moja wa Dunia mwaka 2018 Silvia Vanessa Ponce de León Sánchez kutoka nchini Mexico amewasili nchini Tanzania na...

READ MORE

Miss Tanzania 2019 Aahidi Kutumia Kiswahili Miss World

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amemtaka Miss Tanzania 2019, Sylivia Bebwa (19) ahakikishe anakuwa balozi mzuri wa kutangaza vivutio vya utalii...

READ MORE

Bella Kunogesha Miss Manyara Ijumaa Babati Mjini

WAKATI warembo 16 kutoka mkoani Manyara wakitarajiwa kupanda jukwaani Julai 19 mwaka huu siku ya Ijumaa mjini Babati kuwania taji...

READ MORE

MISS TANZANIA ALAMBA SHAVU NONO BODI YA UTALII – VIDEO

Miss Tanzania mwaka 2018, Queen Elizabeth, amelamba shavu la kuwa balozi wa Bodi ua Utalii nchini, ambapo atakuwa na majukumu...

READ MORE

Miss Tanzania Akimbiza Shindano la Miss World, Mpigie Kura Hapa

Zikiwa  zimebaki siku mbili ili kufanyika kwa kilele cha shindano la urembo la dunia (Miss World), mwakilishi wa Tanzania, Queen Elizabeth...

READ MORE

MA-MISS T Z WALIOTOBOA

SHINDANO la urembo nchini Tanzania (Miss Tanzania) lilipata kuwa moja ya mashindano makubwa hapa nchini. Shindano hili lilivuta hisia za...

READ MORE

Wema ana rekodi yake Miss TZ

MIONGONI mwa warembo waliotwaa Taji la Miss Tanzania, Wema Isaac Sepetu ndiye mwenye rekodi yake ya kipekee ya kuwa na...

READ MORE

Jokate noma, alishika namba 2 Miss Tz, lakini…!

LINAPOTAJWA jina la Jokate Mwegelo, kila mtu ana namna anavyomjua. Wengine watakwambia kabla ya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe...

READ MORE

QUEEN ELIZABETH ATWAA TAJI LA MISS KINONDONI

Mrembo Malkia Elizabeth usiku wa kuamkia leo aliibuka mshindi katika kinyang’anyiro cha kumsaka Miss Kinondoni baada ya kuwabwaga wenzake 17...

READ MORE

NANCY SUMARI MWANADADA WA CHUMA ‘SPECIAL’ KWA TAIFA

UNAPOMZUNGUMZIA Nancy Abraham Sumari, hakika unataja jina la miongoni mwa kinadada ‘special’ wa taifa hili ambao wana mchango mkubwa kwenye...

READ MORE

Ratiba ya Mashindano Miss Tanzania 2018

Kampuni ya The Look Company Limited chini ya Mkurugenzi, Basilla Mwanukuzi  wasimamizi wapya wa Miss Tanzania baada ya kukabidhiwa na  Kampuni...

READ MORE

Miss Tanzania Akwaa Skendo UDM

MISS Tanzania namba mbili 2016/17 ambaye pia ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu Dar (UDSM), Mary Peter amekwaa skendo ya kimapenzi...

READ MORE

Julitha Kabete Kukanyaga Miss World ni Mungu tu!

  MREMBO ambaye aliiwakilisha Tanzania katika mashindo ya Miss World 2017, Julitha Kabete amesema kuwa mpaka kuweza kupata nafasi ya...

READ MORE

Mashindano ya Miss Tanzania Yafutwa Rasmi

WAANDAAJI wa mashindano ya urembo ya Miss Tanzania, Kampuni ya Lino International Agency Limited,  wamesema  kwamba hakutakuwa na Fainali za Taifa za...

READ MORE

MISS TANZANIA AKABIDHIWA BENDERA YA UREMBO WA DUNIA 2017

MISS Tanzania mteule wa mwaka 2017, Julitha Kabete,  leo amekabidhiwa bendera ya Tanzania kwa ajili ya kushiriki mashindano ya urembo...

READ MORE

Miss Tanzania 2017 Anusurika Kutekwa

DAR ES SALAAM: Mrembo anayeshikilia Taji la Miss Tanzania 2016/17, Diana Edward amenusurika kukeketwa na ndugu zake nyumbani kwao, Sakina...

READ MORE

NDOA YA MISS TANZANIA, MTOTO WA MAKAMBA… USIPIME!

DAR ES SALAAM: Ni historia! Harusi ya Mrembo aliyetinga Top Five ya Miss Tanzania 2007, Victoria Martin na mtoto wa...

READ MORE

Shindano la ‘Miss Grand Tanzania’ Laanza Usaili

SHINDANO la Miss Grand Tanzania limeanza kuwafanyia usaili wanamitindo ambao watashiriki shindano hilo ambalo linapiga  vita na machafuko mbalimbali nchini...

READ MORE

Miss Tanzania Azaa na Mbunge…

DAR ES SALAAM: Imevuja! Mbunge wa jimbo moja lililopo katikati ya nchi ya Tanzania akikiwakilisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) anadaiwa...

READ MORE

Ndoa ya Husna Yapigwa Kalenda

MSHIRIKI wa Miss Tanzania 2012, Husna Maulid ambaye Februari, mwaka huu ilikuwa aolewe kwa mbwembwe zote na mwanaume wake raia...

READ MORE

Miss Tanzania Aja na Somo la Urembo

NARGIS Mohammed ambaye alikuwa mshindi wa tatu katika Shindano la Miss Tanzania msimu wa 2003/04, ameamua kuja kivingine baada ya...

READ MORE

Ukweli Kuhusu Umri wa Miss Tanzania 2016/2017, Hajawahi Kujiunga na Chuo Kikuu Chochote

MWANZA: Usiku wa Jumamosi, Oktoba 29, 2016 mrembo wa Kinondoni, Diana Edward Loy alitwaa taji la Miss Tanzania 2016 katika...

READ MORE