
Browsing Tag
MVUA
Mvua ya Siku Moja Soko la Makumbusho Haliingiliki
Mvua iliyonyesha usiku wa kuamkia leo imesababisha Soko Kuu la Makumbusho jijini Dar kushindwa kuingilika kufuatia kujaa maji sehemu ya mlango mkubwa wa kuingilia. Hali hiyo imesababisha wafanyabiashara katika soko hilo kuutupia lawama…
Mvua Kubwa Yasababisha 1394 Kukosa Makazi Mwanza
MWANZA: Zaidi ya kaya 1394 za mitaa minane ya Kata ya Nyegezi jijini Mwanza, hazina makazi kufutia mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali kuezua mapaa ya nyumba 61,huku waathirika wa mvua hiyo wakiiomba serikali kuwapa msaada wa haraka wa…
Mvua Kubwa Yasababisha Foleni Dar
Magari yakiwa katika foleni eneo la Bamaga-Mwenge.Foleni katika makutano ya barabara za Shekilango na Ali Hassan Mwinyi.
Taswira nyingine ilivyokuwa eneo hilo.
MVUA iliyoanza kunyesha usiku wa kuamkia leo imesababisha foleni…