Mwanafunzi Ampiga Mwalimu Hadi Kupoteza Fahamu
JESHI la Polisi nchini Nigeria wanamshikilia mwanafunzi mmoja wa Chuo Kikuu cha Ilorin kwa tuhuma za kumpiga mhadhiri wa kike.
Taarifa ya polisi inaeleza kuwa mwanafuzi alikwenda kumwona mhadhiri huyo kuhusu tasnifu yake ya…