The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

ndege

Ndege Yapotea na Watu 38

NDEGE kubwa ya jeshi la Chile aina ya  Lockheed C-130 Hercules imepotea ikiwa na abiria 38 ilipokuwa ikielekea Antarctica. Ndege hiyo imetoweka jana Jumatatu, Desemba 9, 2019, majira ya wa saa 12:00 jioni kwa muda…

Ndege Yapigwa Radi Ikiwa Angani

NDEGE ya Proflight ikiwa na abiria 41 juzi ilifanikiwa kutua salama jijini Lusaka nchini Zambia baada kupigwa na radi na kukumbana na upepo mkali ikiwa angani (umbali wa futi 19,000), ilipokuwa ikitokea Livingstone jana Jumanne, Novemba…

GIZA AJALI ZA NDEGE BONGO

DAR: Kufuatia ajali ya ndege ndogo ya Shirika la Auric Air iliyotokea Jumatatu ya Septemba 23 na kusababisha vifo vya watu wawili, akiwemo Nelson Mabeyo ambaye ni mtoto wa Mkuu wa majeshi ya Ulinzi nchini (CDF) Venance Mabeyo, giza nene…

Boeing 737 Yatumbukia Mtoni

NDEGE aina ya Boeing 737 imeshindwa kutua na kuishia kuingia mtoni nchini Marekani. Hiyo ni aina ileile ya ndege iliyopata ajali na kusababisha vifo vya mamia ya watu nchini Ethiopia na Indonesia. Kwa mujibu wa…