×

Tag: Ndugai

Ndugai Atangaza Utaratibu Mpya wa Kidigitali Bungeni

SPIKA wa Bunge la Tanzania Job Ndugai, amesema Bunge lina mpango wa kuacha kutumia mfumo wa sasa wa makaratasi Bungeni,...

READ MORE

Mawakili 15 wa Serikali Wamkabili Lissu Mahakamani

MAWAKILI wa Serikali 15 wakiongozwa na Wakili Mkuu wa Serikali, Dk. Clement Mashamba wamewasilisha pingamizi katika Mahakama Kuu kupinga maombi...

READ MORE

Lissu, Ndugai Watifuana Kortini – Video

  MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar, leo Agosti 15, 2019, imeamuru maombi ya zuio la muda la kuapishwa kwa mbunge...

READ MORE

Mahakama Kuu Yasikiliza Kesi Lissu Kuvuliwa Ubunge

MVUTANO mkali kati ya pande mbili – upande unaowakilishwa na Tundu Lissu na ule wa Jamhuri – katika kesi ya...

READ MORE

Wananchi wa Singida Wanajua Lissu Yupo Wapi; Ndugai Hajui!

KAMA kuna jambo lililoshangaza wananchi wa kawaida kabisa wa Tanzania ni tamko la kumvua ubunge Mbunge wa Singida- Mashariki (Chadema),...

READ MORE

Lissu: Hakuna Mwenye Mamlaka ya Kunivua Utanganyika

BAADA ya Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai,  kusema Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu, amepoteza sifa za...

READ MORE

NDUGAI: “Huyu Kijana Hajitambui, HAJIELEWI, Anamdanganya RAIS Hadharani” – Video

Spika wa Bunge, Job Ndugai, amemjibu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kufuatia kauli aliyoitoa leo mbele...

READ MORE

BREAKING NEWS: SPIKA ASEMA ‘TUMPUUZE, TUMSAMEHE MASELE’

KAMATI ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge iliyomtia hatiani kwa makosa manne Mbunge wa Shinyanga Mjini (CCM) ambaye pia...

READ MORE

BREAKING: NDUGAI AMSIMAMISHA UBUNGE MASELE KWA UTOVU WA NIDHAMU – VIDEO

SPIKA Job Ndugai ametangaza kusitisha uwakilishi wa Mbunge Stephen Masele kwenye Bunge la Afrika (PAP) ambaye pia ni Makamu wa...

READ MORE

NDUGAI AHOJI ‘KUTOSWA’ MRADI WA BANDARI BAGAMOYO

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, ameitaka serikali kueleza kwa nini ujenzi wa mradi wa bandari ya Bagamoyo mkoani...

READ MORE

Lugola, Ndugai Wasema CAG Muongo, Amemdanganya Rais – Video

SAKATA  la Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) liliibuka tena jana bungeni, ambapo Waziri wa...

READ MORE

Ofisi Ya Bunge Yakanusha Taarifa Hizi Kuhusu CAG

Ofisi ya Bunge imekanusha kuwa Spika Job Ndugai ameandika barua inayotoa wito kwa CAG, Prof. Mussa Assad kujiuzulu ama kujieleza...

READ MORE

Wananchi 15,000 Wapinga Bunge Kutofanya Kazi na CAG

WAKATI kampeni ya mtandaoni kupinga azimio la Bunge la kutofanya kazi na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali...

READ MORE

NASSARI AMFUNGULIA MASHTAKA SPIKA, MAHAKAMA YAZUIA UCHAGUZI

ALIYEKUWA Mbunge wa Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Nassari,  amefungua shauri la madai dhidi ya Spika na Mwanasheria Mkuu wa Serikali...

READ MORE

LISSU AFUTIWA MSHAHARA NA POSHO ZAKE BUNGENI – VIDEO

MBUNGE wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amethibitisha kuwa Uongozi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia kwa...

READ MORE

Spika Ndugai Awakaribisha Mbowe na Matiko Bungeni

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amemkaribisha Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe kuendelea na shughuli...

READ MORE

MJADALA MZITO UMEIBUKA: LISSU VS NDUGAI, MTANDAONI PACHAFUKA!

MJADALA HOT: TUNDU LISSU Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amefanya ziara barani Ulaya na Marekani na kuisema Serikali....

READ MORE

Breaking News: Spika Ndugai Kusimamishia Mshahara wa Tundu Lissu – Video

SPIKA wa Bunge Job Ndugai amesema ipo haja ya kusimamisha Mshahara na Malipo yote ya Mbunge wa Singida Mashariki Tundu...

READ MORE

Ndugai Aitaka Serikali Ieleze Kuhusu Mauaji ya Watoto Njombe

Spika wa Bunge, Job Ndugai ameiagiza Serikali kutoa kauli kuhusu mauaji ya watoto yanayoendelea mkoani Njombe kabla ya kuahirishwa kwa...

READ MORE

Ndugai: Zitto Muongo Ananichafua, Lissu Tumempa Mil 250 za Matibabu – Video

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, amesema kuanzia sasa ataanza kumjibu mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu, kwa...

READ MORE

BREAKING: CAG ASALIMU AMRI KWA SPIKA “Nitaenda kwa Ndugai” – Video

MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad, amekubali kuitikia wito wa Spika wa Bunge, Job Ndugai, aliomtaka...

READ MORE

Ndugai: Zitto Ananisumbua Sana, CAG Asipokuja Tutamuonyesha – Video

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai,  amesisitiza kuwa bunge lake siyo dhaifu hata kidogo kama...

READ MORE

Ndugai: CAG Ajisalimishe Mwenyewe, Vinginevyo Ataletwa kwa Pingu

SPIKA wa Bunge la Tanzania Job Ndugai, amemtaka Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad,  kuripoti...

READ MORE

Spika Ndugai Apiga ‘STOP’ Kucha na Kope Bandia Bungeni – Video

Spika wa Bunge la Jamahuri ya Muungano wa Tanzania, Job Yustino Ndugai leo Septemba 10, 2018 amepiga marufuku wabunge wanawake...

READ MORE

LIVE: Kutoka Ikulu, Rais Magufuli Akihutubia Muda Huu – VIDEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli, leo Julai 30 anakabidhi hati za viwanja vya Dodoma...

READ MORE

SPIKA NDUGAI Aosha Magari ili Kupata Bilion 3 – Video

Spika wa Bunge, Job Ndugai ameendesha zoezi la kuosha magari ya wabunge ili kuhamasisha uchangiaji wa fedha kiasi cha Tsh....

READ MORE

Ndugai Atoa Salamu za Rambirambi Kifo cha Mapacha Maria, Consolata

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai ametuma salamu za pole kwa familia ya mapacha Maria na Consolata Mwakikuti, waliofariki dunia juzi...

READ MORE

NDUGAI: Waziri Analia, Anakulambalamba? Wizara ya Fedha Mjitathmini – Video

SPIKA wa bunge, Job Ndugai ameitaka Wizara ya Fedha na Mipango kujitathmini kutokana na lawama ambazo imekuwa ikidaiwa kuchelewa fedha...

READ MORE

Kisa Sukari ya Zanzibar, Mwijage Awaka, Ndugai Amgomea – Video

Spika wa Bunge Job Ndugai amelazimika kuingilia kati mvutano ulioibuka bungeni kuhusu tofauti ya bei ya sukari kati ya Tanzania...

READ MORE

Spika Amjibu Mbowe Kunyimwa Gari, ‘Kufutwa Upinzani Bungeni’ – Video

Spika wa Bunge, Job Ndugai, ametolea ufafanuzi hoja iliyotolewa na Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara, kuhusu iwapo kambi ya upinzani...

READ MORE

Mwandishi, Wahariri Waitwa Bungeni kwa Madai ya Kudhalilisha Bunge

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, amemtaka mwandishi wa gazeti la Raia Mwema, Paschal Mayala na...

READ MORE

Ndugai: Bashe Apeleke Hoja Yake Kwenye Chama Kabla ya Bungeni

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Yustino Ndugai amesema suala la Mbunge wa Nzega Mjini (CCM),...

READ MORE

Ndugai Arejea Nchini Akitokea India kwa Matibabu

Spika wa Bunge la Jamhuri wa Muungano, Job Ndugai amerejea nchini leo Aprili 3, 2018 akitokea India alikokuwa amekwenda kwa...

READ MORE

Ndugai Apangua Safu ya Wajumbe Kamati za Kudumu za Bunge

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amefanya uteuzi mpya wa wajumbe wa kamati za kudumu za Bunge ambapo amesema amefanya uteuzi...

READ MORE

Spika Ndugai Aikosoa Serikali Upangaji wa Vituo vya Kazi kwa Walimu Wapya

DODOMA: Spika wa Bunge, Job Ndugai amekosoa mpango wa TAMISEMI kuwapangia walimu wapya vituo vya kazi moja kwa moja akisema...

READ MORE

Spika Ndugai Asema Atakwenda Kwa Tundu Lissu Baada ya Krismasi

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai (Mb.) ameusema kuwa atakwenda nchini Kenya kumuona Mbunge...

READ MORE

Ndugai Ampa Tano Dkt. Kashililah

Spika wa Bunge, Job Ndugai amemshukuru aliyekuwa Katibu wa Bunge, Dk Thomas Kashililah kwa utumishi uliotukuka. Ametoa shukrani hizo leo...

READ MORE

Ndugai Amjibu Mbowe Kuhusu Sh. 43M za Wabunge Kumtibu Lissu

OFISI ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeijibu kauli ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ambaye mapema leo...

READ MORE

Mbowe Amtuhumu Spika Ndugai Kugomea Mil. 43 za Wabunge Kumtibu Lissu

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ametua nchini akitokea nchini Kenya anapomuuguza Mbunge wa Singida Mashariki...

READ MORE