Mashabiki wa Timu ya Taifa ya Brazil Waitelekeza Jezi ya Njano Kisa Inafanana na Bendera ya Chama…
MASHABIKI wa timu ya taifa ya Brazil wamepunguza mapenzi yao ya kuvaa jezi ya njano ya timu hiyo kisa chama tawala cha Rais aliyepo madarakani kwa sasa kinatumia rangi na bendera ya timu hiyo kama mtaji wa kisiasa kwa kuzigeuza kuwa…
