Ajiua kwa Kukata Nyeti Zake kwa Chupa
Kamanda wa polisi katika jimbo la Kano Kaskazini mwa Nigeria amethibitisha kifo cha Mustapha Muhammad, mkazi wa kijiji cha Malam Na Andi, ambaye amedaiwa kujiua kwa chupa.
Polisi imesema kuwa mwanaume huyo aliamua…
