Fahamu Umuhimu wa Nywele Sehemu za Siri za Mwili wa Binadamu
NYWELE hujitokeza katika sehemu tofauti katika mwili wa mwanadamu , na faida zake hutegemea sehemu inazojitokeza mwilini kulingana na tafiti kadhaa.
Kwa mfano, nywele katika mwili wa mwanadamu hujitokeza kichwani,…