Raila Odinga Atangaza Kusitisha Maandamano Atoa Nafasi ya Mashauriano
Hatimaye kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga wa chama cha ODM amesitisha maamndamano yaliopangwa kufanyika Jumatatu kama iliyokuwa ikitarajiwa.
Hatuahii imekuja baada ya Rais William Ruto kuhutubia taifa na kumtaka Odinga…
