Mbappe: Sikulala nilivyoitwa Taifa Stars
MSHAMBULIAJI nyota wa Serengeti Boys, Kelvin John (Mbappe), amesema hakulala kabisa siku aliyoitwa kwenye kikosi cha Taifa Stars, kutokana na watu wengi kumtafuta.
Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Emmanuel Amunike, amemuita…
