Namba 7 Pigo kwa Mama Kanumba – Video
DAR: Kama ni kumbukumbu mbaya, hakika namba 7 itabaki kuwa pigo kila atakapokuwa anaikumbuka mama mzazi wa marehemu Steven Charles Kanumba, Flora Mtegoa, kufuatia kuwapoteza wanawe wawili kwa nyakati tofauti katika siku inayofanana, Gazeti…
