Sister Fay Anangwa Kisa Pete ya Uchumba
MSANII wa filamu na muziki Bongo, Sister Fay amejikuta akila za uso kwa kunangwa vilivyo na mashabiki kisa pete ya uchumba aliyovalishwa hivi karibuni.
Sister Fay aliweka video akiwa analia huku akiwa anabembelezwa na mchumba…
