The House of Favourite Newspapers
Browsing Tag

Tatizo la kutoka mimba mara kwa mara

Tatizo la Mimba Kutoka Mara kwa Mara

WIKI iliyopita tulieleza sababu ya mimba kuharibika tunamalizia kwa haya: MIMBA KUTOKUA Ikiwa mimba itaacha kuongezeka au kukua ni dalili nyingine ya mimba kuharibika, leo tutaeleza tatizo la mimba kutoka mara kwa mara. Kila…

Tatizo la kutoka mimba mara kwa mara

Mimba kutoka mara kwa mara ni tatizo linalotokea kwa wajawazito ambao mimba zao hutoka zikiwa na umri wa chini ya wiki 20. Utokaji huo wa mimba kitaalamu huitwa recurrent miscarriage au Recurrent Pregnancy Loss. Karibu asilimia moja ya…