Chid Benz: Nimefanya Ngoma Mpya na Tupac, Namshusha Bongo Soon
RAPA mkali wa ngoma Dar es Salaam Stand Up, Chidi Benz amezua jipya baada ya kudai kuwa aliyekuwa Rapa wa Marekani Marehemu Tupac Amaru Shakur '2Pac', yuko hai na anaishi nchini Cuba, na kuongeza kwamba wanaongea kila siku kwa…