Huku Vinicius Jr Kule Jadon Sancho Nani Kutisha Fainali Ya UEFA?
Usiku wa leo kitapigwa kipute kikali cha kuhitimisha msimu wa mwaka 2023/24 wa ligi ya mabingwa ulaya, Ambapo itapigwa fainali ya ligi ya michuano hiyo kati ya klabu ya Real Madrid kutoka nchini Hispania dhidi ya Borussia Dortmund ya…
