Mbosso Afunguka Kuhusu Aslay, Enock Bella & Beka Flavour
STAA wa muziki wa Bongo Fleva kutoka Lebo ya Wasafi, Mbosso amefunguka kuhusu uhusiano wake na wasanii waliokuwa wenzake katika Bendi ya Yamoto.
Akiwa kwenye mahojiano na wanahabari jijini Mombasa, Mbosso aliweka wazi…
