The House of Favourite Newspapers

TAHADHARI yatolewa KIMBUNGA KENNETH Kurudi Baharini – Video

Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imesema kuwa kimbunga Kenneth kilichokuwa kikitarajiwa kuikumba mikoa ya Mtwara, Lindi na maeneo ya karibu na mikoa hiyo, hakikufika nchini Tanzania kutokana na kasi yake kupungua na kuishia nchini Msumbiji.

Comments are closed.