The House of Favourite Newspapers

Taifa Stars yaendelea kujifua Afrika Kusini

0
TAIFA STAZ (1) TAIFA STAZ (2) TAIFA STAZ (7) TAIFA STAZ (5) TAIFA STAZ (4) TAIFA STAZ (3)
Kikosi cha Taifa Stars kimefanya mazoezi leo Asubuhi, pia kitaendelea kufanya jioni.

Mazoezi yamefanyika chini ya Kocha Charles Boniface Mkwasa ambaye ana wasaidizi wengine kama Hemed Morocco na Juma Mgunda pia mshauri wa masuala ya Ufundi, Abdallah Kibadeni pamoja na Kocha wa Makipa, Manyika Peter.
Meneja ni Omary Kapilima.
Mazoezi yamefanyika kwenye Uwanja wa Edenvale kwenye kitongoji cha Edenvale jijini Johannesburg, Afrika Kusini.
Leave A Reply