The House of Favourite Newspapers

Takribani Watu 35 Wafariki Dunia Nchini Burkina Faso, Serikali ya Mpito Imetangaza

0
Burkina Faso

Raia 35 wafaliki dunia na wengine 37 kujeruhiwa kaskazini mwa nchi ya Burkina Faso, chanzo cha janga hilo ni gari lililokuwa kwenye msafara lilipokanyaga bomu ambalo lilitegwa barabarani.

 

Serikari ya mpito ya nchi hiyo ilitoa taarifa kwamba msafara wa ugavi uliosindikizwa kuelekea mji mkuu Ouagadougou ulikanyaga bomu hilo kati ya miji ya kaskazini ya Djibo na Bourzanga eneo ambalo liliongezewa mashsmbulizi na migambo wa kiislam.

Burkina Faso

Hasira zilizotokana na kuongezeka kwa mashambulizi kulichochea mapinduzi ya kijeshi dhidi ya rais wa zamani wa Burkina Faso, Roch Kabore hapo mwezi Januari.

 

Imeandikwa: leocardia Charles kwa msaada wa mitandao.

Leave A Reply