The House of Favourite Newspapers

Serikali Yaingilia Kati Sakata la Mwakinyo, Yaagiza TFF na BMT Kukutana Mara Moja

0

 

WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohamed Omary Mchengerwa amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kukutana mara moja na Baraza la Michezo la Taifa (BMT) pamoja na Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) ili kutathmini mwenendo wa Timu ya Taifa Taifa Stars.

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohamed Omary Mchengerwa

Aidha Waziri Mchengerwa ameielekeza BMT kufuatilia tukio la pambano la ngumi la Bondia wa Tanzania Hassan Mwakinyo dhidi ya Bondia Liam Smith lililofanyika nchini Uingereza.

Leave A Reply