The House of Favourite Newspapers

Tamasha la Tigo Fiesta Lafana Mjini Singida

TAMASHA la Tigo Fiesta liliendelea Mkoa wa Singida usiku wa kuamkia leo katika Uwanja wa Namfua Stadium. Wasanii waliotoa burudani ni Nuh Mziwanda, Shilole, Mr Blue, Niki wa Pili, Nandy, Ben Pol na Jux na wengine wengi. shilole-huyu

Staa wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, akiongea na mashabiki wake Uwanja wa Namfua usiku wa kuamkia leo katika tamasha la Tigo Fiesta.

shilole1

Shilole akicheza sebene na shabiki wake.

img_8993

Mashabiki wakiendelea kumshangilia Shilole (hayupo pichani)

img_9060

Shabiki akiendelea kujiachia na Shilole. shishi-baby

Shilole akiendelea kufanya makamuzi.

jux jux1

Msanii wa Bongo Fleva, Jux,  akiimba wimbo wake mpya wa Wivu.

nuh-mziwanda

Mkali wa wimbo ‘Jike Shupa’ Nuh Mziwanda akifanya yake.

nuh

Nuh Mziwanda akiongea na mashabiki zake.

nikki-wa-pili

Msanii wa Bongo Fleva, Niki wa Pili, akitoa burudani.

nandy

Staa wa Bongo fleva, Nandy (katikati) akicheza na wacheza shoo wake.

img_9036  Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Kheri Sameer, maarufu kama Mr Blue akiimba ngoma ya Mboga Saba.byser-mr-blu

…Akiongea na mashabiki.

tox-star-akitumbuiza

Juma Saidi aka ‘Tox Star’ akifanya yake.

Comments are closed.