Tangazo la kuitwa Kazini Walimu na Kada ya Afya
Ofisi ya Rais TAMISEMI,inapenda kuwatangazia Umma kuwa,imekamilisha mchakato wa kuchambua maombi ya ajira ya Elimu na Afya iliyotangazwa tarehe 09/05/2021
Kuona Orodha ya Walimu Bofya hapa WALIMU
Kuona Orodha ya Kada ya Afya Bofya hapa ORODHA YA WATUMISHI WA AJIRA MPYA KADA YA AFYA

