The House of Favourite Newspapers

Tangazo la Kupotelewa na Vyeti, Paul Alfredy Mpiluka

NDUGU Paul Alfredy Mpiluka mzaliwa wa Iringa vijini jimbo la Kalenga anatangaza kupotelewa na vyeti vyake vya taaluma kuanzia shule ya sekondari hadi Chuo Kikuu.

 

Mpiluka alipoteza vyeti vyake vikiwa kwenye begi la mgongoni mnamo Mei 5, 2018 majira ya saa 03:34 usiku maeneo ya Mbagala Zakhem jijini Dar es Ssalaam katika gari la Kisemvule – Kivukoni lenye palte number T 577 DCX.

Vitu vilivyopotea kwenye begi hilo ni;

  1. Paul Alfredy Mpiluka, Cheti cha Kuhitimu Elimu ya Msingi (Darasa la Saba – 2004), Primary Shule ya Msingi Isakalilo.
  2. Paul Alfredy Mpiluka, Cheti cha Kuhitimu Elimu ya Sekondari (CSEE – 2008), Kalenga Secondary School.
  3. Paul Alfredy Mpiluka, Cheti cha Kuhitimu Advanced Level (ACSEE – 2011), Songea Boys Scondary School.
  4. Paul Alfredy Mpiluka, Cheti cha Kuhitimu Shahada ya Kwanza (Bsc. Information and Communication Technology with Business)- Mzumbe University – 2014.
  5. Laptop Hp Proobok na adapter yake.
  6. Slot 2 za RAM
  7. Funguo mbili za office.

 

“Watanzania wenzangu naomba mnisaidie kwani vyote vilivyomo ndio maisha yangu, gari ilipata hitilafu katika harakati za kujinusuru begi ilibaki ndani, hali iliporejea kuwa shwari sikupata tena begi yangu nisaidieni Watanzania,” amesema Mpiluka.

Piga namba 0752 764 700 au 0785 314 960 au 0713 479 875 ama vipeleke kituo chochote cha polisi kilichp karibu yako.
Saidia kusambaza taarifa hizi kwa Watanzania wengine kupitia magroup ya WhatsApp na mitandao mingine.
Mungu awabariki.

Comments are closed.