Taswira za mahafali ya chuo cha DSJ leo
Baadhi ya wahitimu wa Chuo cha Uandishi wa Habari cha DSJ wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Wahitimu hao wakiwa wamejipanga vizuri wakati wa kupiga picha za kumbukumbu.
Wahitimu wakijipiga picha za ‘selfie’.
Wahitimu wakiwa katika pozi tofauti.
Baadhi ya wahitimu wakiwa makini kufuatilia kile kilichokuwa kikiendelea ukumbini hapo.
Baadhi ya wazazi wakiwa kwenye mahafali hiyo.
Wazazi hao wakiwa makini kufuatilia mambo yanavyoendelea kwenye mahafali hiyo.
Wahitimu wakiwa wametokelezea.
LEO Ijumaa ya Desemba 18, 2015, Chuo cha Uandishi wa Habari cha Dar es Salaam School of Journalism (DSJ), kimefanya mahafali yake kwa wanafunzi waliomaliza masomo yao kwa ngazi ya astashahada (Certificate) na stashahada (Diploma), katika Ukumbi wa Msimbazi Centre jijini Dar.
Kamera yetu ya Global Publishers Limited (GPL), imenasa matukio mbalimbali katika mahafali hayo yaliyofana.
(NA DENIS MTIMA/GPL)
Comments are closed.