The House of Favourite Newspapers

Taswira za mahafali ya chuo cha DSJ leo

1.Baadhi ya wahitimu wa chuo cha Uandishi wa Habari cha Dar es Salaam School Of Journalism (DSJ) wakiwa kwenye picha ya pamoja.Baadhi ya wahitimu wa Chuo cha Uandishi wa Habari cha DSJ wakiwa kwenye picha ya pamoja.
2.Wakijipanga katika mstari.4.Wahitimu hao wakiwa katika pozi tofauti.Wahitimu hao wakiwa wamejipanga vizuri wakati wa kupiga picha za kumbukumbu.
3.Wahitimu hao wakijipiga picha za selfie.Wahitimu wakijipiga picha za ‘selfie’.
5.Baadhi ya wahitimu hao wakiketi sehemu yao iliyokuwa imeandaliwa.Wahitimu wakiwa katika pozi tofauti.
6.wahitimu hao wakisubiri utaratibu uliokuwa ukiendelea ukumbini hapo.Baadhi ya wahitimu wakiwa makini kufuatilia kile kilichokuwa kikiendelea ukumbini hapo.
7.Baadhi ya wazazi wakiwa kwenye hafla hiyo.Baadhi ya wazazi wakiwa kwenye mahafali hiyo.
8.Wazazi wakiendelea kufuatilia hafla hiyo.Wazazi hao wakiwa makini kufuatilia mambo yanavyoendelea kwenye mahafali hiyo.
9.Wahitimu hao wakiwa wametokelezea.Wahitimu wakiwa wametokelezea.

LEO Ijumaa ya Desemba 18, 2015, Chuo cha Uandishi wa Habari cha Dar es Salaam School of Journalism (DSJ), kimefanya mahafali yake kwa wanafunzi waliomaliza masomo yao kwa ngazi ya astashahada (Certificate) na stashahada (Diploma), katika Ukumbi wa Msimbazi Centre jijini Dar.

Kamera yetu ya Global Publishers Limited (GPL), imenasa matukio mbalimbali katika mahafali hayo yaliyofana.

(NA DENIS MTIMA/GPL)

Comments are closed.