The House of Favourite Newspapers

TAZAMA Ubunifu wa Kushangaza wa Denti Huyu – Video

Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Mwenyeheri Anuarite ya jijini Dar es Salaam, Prosper Nyambe ametinga ndani ya studio za Global TV Online na kuelezea juu ya ubunifu alionao ambao kwa namna ya kipekee unashangaza.

 

Kijana huyo ni Muhitimu wa Kidato cha nne ambaye alielezea kwa kutumia penseli na anavyotumika kama maisha yalivyo ya mwanadamu namna ambavyo penseli inavyochongwa na baadaye risasi yake kuisha na kisha kuchongwa tena.

 

Alitumia mfano huo kueleimisha vijana kwamba maisha ni sawa na penseli na hivyo mtu anapofanya jambo kimakosa anauwezo wa kujirekebisha na kufikia hatua ambayo ni bora au anaihitaji.

SHUHUDIA VIDEO HII

Comments are closed.