The House of Favourite Newspapers

TCB Yajipanga Kuendelea Kutoa Huduma Bora Kwa Wateja Wake

0
Mkurugenzi wa Masoko na Ukuzaji Biashara wa Benki ya TCB, Bw. Deogratius Kwiyukwa akizungumza wakati wa kikao cha Wakurugenzi wa sekta mbalimbali ndani ya Tanzania Commercial Bank PLC wamefanya kikao cha mpango mkakakati wakishirikiana na Mameneja wa Matawi nchi nzima kwa ajili ya kujadili malengo ya kuhakikisha kuwa TCB inabakia kileleni. Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa mikutano wa PSSSF, jijini Dodoma hivi karibuni.
Mkurugenzi wa Mikopo wa Tanzania Commercial Bank PLC, Henry Bwogi akizungumza wakati wa kikao cha Wakurugenzi wa sekta mbalimbali kutoka benki hiyo wakati wa kikao cha mpango mkakakati wakishirikiana na Mameneja wa Matawi nchi nzima kwa ajili ya kujadili malengo ya kuhakikisha kuwa TCB inabakia kileleni.
Mkurugenzi wa Fedha wa Tanzania Commercial Bank, Bi. Regina Semakafu akizungumza na wafanyakazi wa Benki hiyo
Wakurugenzi wa Benki ya TCB wakiwa katika kikao hicho.
Leave A Reply