The House of Favourite Newspapers

Tembo Wafa Maji Wakijaribu Kumuokoa Mwenzao

NCHINI Thailand imeripotiwa Tembo sita wamekufa wakijaribu kuokoana katika mteremko wa maji baada ya tembo mdogo kuteleza na kuanguka ndani ya mteremko wa maji na mawe mengi katika ifadhi ya kitaifa ya Khao Yai nchini Thailand.

Maafisa wa ifadhi hiyo wamesema sio mara ya kwanza Tembo kufa katika mteremko huo wa maji unafahamika kama Haew Narok (Maporomoko ya jehanamu), Siku ya jumamosi mzoga wa tembo wa miaka mitatu  ulionekana ukiwa umenasa katika mteremko huo  .

 

Comments are closed.