The House of Favourite Newspapers

Tigo yazindua mtandao wa 3G Longido 

Meneja wa Tigo kanda ya Kaskazini Lilian Mwalongo (kushoto) akizungumza na wananchi wa Longido mkoani Arusha wakati wa uzinduzi wa mnara mpya ulio ongezewa uwezo kutoka 2G kwenda 3G . Wa kwanza kulia ni Mtendaji wa kijiji cha Longido Leiyo Laizer na Mwenyekiti wa kijiji Theresia Kashuma
Mwenyekiti wa kijiji cha Longido Theresia Kashuma (kati kati) akiongea na wananchi wa Longido mkoani Arusha wakati wa uzinduzi wa mnara mpya wa Tigo ulio ongezewa uwezo kutoka 2G kwenda 3G.
Meneja wa Tigo kanda ya Kaskazini, Lilian Mwalongo (kati kati) akipongezana na Mtendaji wa kijiji cha Longido Leiyo Laizer (kushoto)  na mwenyekiti wa kijiji hicho Theresia Kashuma  (kulia)muda mfupi baada ya kuzindua mnara mpya ulio ongezewa uwezo kutoka 2G kwenda 3G .
Maofisa wa Tigo wakiwahudumia wateja ambao ni wakazi wa Longido mkoani Arusha wakati wa uzinduzi wa mnara mpya ulio ongezewa uwezo kutoka 2G kwenda 3G  uliofanyika Longido. 

Comments are closed.