Toka WCB, Lava Lava Ameileta ‘Niuwe’ Video Mpya

Utafurahia kuitazama video ya wimbo mpya wa Lava lava toka WCB unaokwende kwa jina la ‘Niuwe‘, Video imeongozwa na Hascana, audio ikiwa imetengenezwa na Abby Dady.

 

 

Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa ingia Global App na kama huja install, nimekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

Itazame hapa.

 

Toa comment