The House of Favourite Newspapers

Trela la lori lapinduka jijini Dar leo

0

IMG-20151110-WA0026 Trela la lori lenye namba za usajili T863 AEF limepinduka mchana wa leo eneo la Polisi Ufundi, Barabara ya Kilwa jijini Dar. Ajali hiyo imetokea baada ya lori lililokuwa likivuta trela hilo kujaribu kukwepa gari dogo lililokuwa likitokea mbele yake.

IMG-20151110-WA0021 IMG-20151110-WA0022 IMG-20151110-WA0023 IMG-20151110-WA0024 Muonekano wa trela la lori hilo baada ya kuanguka.

(PICHA: ERICK EVARIST/GPL)

 

Leave A Reply