The House of Favourite Newspapers

Trey Songz aachia mixtape kusherehekea birthday yake

trey-songz-that-grape-juice-2014-99Staa wa R&B, Tremaine Aldon Neverson ‘Trey Songz’

STAA wa R&B, Tremaine Aldon Neverson ‘Trey Songz’ jana katika kusherehekea birthday yake aliamua kushusha mixtape inayotambulika kama To Whom It May Concern iliyosimamiwa na DJ Drama.

Trey alikuwa akitimiza miaka 31 na katika mixtape yake hiyo ina ngoma kumi na mbili ambapo ndani yake kuna wakali kibao kama vile Dave East, Chisanity, J.R., DJ Mustard, Rico Love pamoja na KE.

Ngoma zilizopo kwenye Mixtape ya TO WHOM IT MAY CONCERN

1. “Blessed” (prod. by Mano)
2. “Everybody Say” feat. MIKExANGEL and Dave East (prod. by Mano)
3. “Walls” feat. MIKExANGEL and Chisanity (prod. by KE on the track)
4. “Benihana” (prod. by Rico Love & D-Town)
5. “Crew” (prod. by Maui Black)
6. “Waffles & Eggs” (prod. by Cook Classic)
7. “Used To” feat. J.R. (prod. by DJ Chose)
8. “Stuck” (prod. by DJ Mustard)
9. “Never Enough” feat. MIKExANGEL (prod. by Saaj)
10. “#Christmas (Guess Who)” (prod. by Rico Love, Diego Ave, and M. Tariq)
11. “Pain Killers” (prod. by Sean Momberger)
12. “Prayers” feat. Chisanity & J.R. (prod. by Yonni)

(Imetayarishwa na Andrew Carlos/GPL)

Comments are closed.