Trump Amteua Brett Kavanaugh Jaji Mahakama Kuu

Image result for Brett Kavanaugh

 

RAIS Trump wa Marekani amemteua Brett Kavanaugh kuwa Jaji wa Mahakama Kuu nchini humo kuziba nafasi iliyoachwa na Jaji Kennedy.

Video thumbnail
 

Kavanaugh aliwahi kufanya kazi chini ya  rais mstaafu,  George H.W. Bush,  na alishiriki majukumu mbalimbali akiwa mwanasheria wakati wa utawala wa rais mstaafu,  Bill Clinton.

 
Toa comment