The House of Favourite Newspapers

Tuhuma za Rushwa Kura za Maoni CCM… Kinana Amfuta Gulamali Jimbo la Nyalandu

Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Abdulrahman Kinana imewazuia Haider Gulamali na Elia Mlangi kugombea nafasi ya ubunge Singida Kaskazini kutokana na kujihusisha na rushwa. Amefuta mchakato wa kura ya maoni jimbo la Singida Kaskazini baada ya baadhi ya wagombea kujihusisha na rushwa.

Comments are closed.