The House of Favourite Newspapers

Twanga Ilivyowapa Raha Wadau Wake

twanga-7Muimbaji mkongwe wa bendi hiyo, Luiza Nyoni (kushoto) na Kalala Juniour wakiwajibika kwa staili ya wapendanao.twanga-6Kikosi cha Twanga kikiwajibika jukwaani.twanga-3Mkali wa muziki wa mchiriku almaarufu kama Msagasumu naye alipewa nafasi ya kusindikiza onesho hilo.twanga-4Mashabiki wakimtunza Msagasumu baada ya kuwakosha. twanga-5Wapendanao hawa nao walinaswa wakijimwaya kwa raha zao.twanga-1Wadau wa Twanga wakiwa kwenye picha ya pamoja na mtangazaji wa muziki wa dansi, Abdallah Zomboko mwenye maiki.twanga-2Mkurugenzi wa Twanga, Asha Baraka akiwa na wanenguaji wake.

Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ usiku wa kuamkia jana, Jumapili ilifanya onesho la wadau wa bendi hiyo lililoitwa Jukwaa la Twanga ambalo lilifanyika Ukumbi wa Mango Garden jijini Dar.

Katika onesho hilo umati wa wadau hao ulipata burudani hiyo kuanzia nyimbo za albamu ya kwanza mpaka zinazotamba hivi sasa.

PICHA: RICHARD BUKOS / GPL

Comments are closed.