Tweet za Stori Kubwa Kutoka Katika Magazeti ya Leo Julai 5, 2017
Walinzi 28 wa mgodi wa Buzwagi wameshindwa kutoka tangu Julai 1 baada ya vitambulisho vya kufungilia mlango kufutwa kwenye mfumo- MWANANCHI pic.twitter.com/2fsfB5jJ4K
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 6, 2017
#Teknolojia imewadhibiti Walinzi wa #Acacia #MWANANCHI Julai 6#GlobalHabari pic.twitter.com/A7rBqELLzC
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 6, 2017
#Uchaguzi CCM.#MWANANCHI Julai 6#GlobalHabari pic.twitter.com/oW7BxNRi52
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 6, 2017
#SaidKubenea apanda kizimbani #Dodoma. pic.twitter.com/wLuVeTvkQT
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 6, 2017
#Diwani Mwanakombo Ramadhan (CCM) ahukumiwa mwaka mmoja jela. Naye @halimamdee Mdee bado anasota lupango.#Nipashe Julai 6#GlobalHabari pic.twitter.com/qMC5gnb2S4
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 6, 2017
Luteni Kanali Lupi amekanusha kuwa, wanajeshi a Tanzania wanaolinda amani wamekuwa wakihusika kwenye vitendo vya unyanyasaji- THE CITIZEN pic.twitter.com/eSTqze4ijy
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 6, 2017
#THECITIZEN Angalau wanaume 11,286 wamefanyiwa tohara tangu Juni 18 mwaka huu mkoani Songwe katika kampeni iliyodumu kwa siku 21 pic.twitter.com/oZSaOKyPaa
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 6, 2017
#MWANANCHI PM Kassim Majaliwa awataka wabunge kushirikiana na halmashauri zao kuweka mikakati ya kudhibiti mimba kwa watoto shuleni pic.twitter.com/jnecZopSkj
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 6, 2017
#GAZETILAAMANI Apigwa ndoa ya mkeka msibani Julai 7#Globalpublishers pic.twitter.com/LydDuO9flL
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 6, 2017