The House of Favourite Newspapers

Uchaguzi Mdogo: Gari la Mbunge wa Chadema Lashambuliwa

Mwonekano wa gari la Mbunge Anna Gidarya  (Viti Maalum Chadema) baada ya kinachosemekana kushambuliwa kwa risasi.

GARI la  Mbunge wa Viti Maalumu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Anna Gidarya, linasemekana  limeshambuliwa kwa risasi na kutoboa matairi yake katika Kata ya Majengo jijini Arusha.

Waliofanya shambulio hilo hawajatambulika.

Comments are closed.