The House of Favourite Newspapers

BREAKING NEWS: MTANGAZAJI MISANYA BINGI AFARIKI DUNIA

Aliyekuwa mtangazaji maarufu wa Radio One, Dkt. Misanya  Dismas Bingi,  enzi za uhai wake.

MHADHIRI wa Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM) ambaye pia aliwahi kuwa mtangazaji maarufu wa Radio One, Dkt. Misanya Dismas Bingi,  amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kukumbwa na kiharusi.

Msiba uko Makongo-Juu jijini Dar es Salaam.

Comments are closed.