Uchambuzi Mechi Ligi Kuu Bara…Usikose Spoti Hausi leo Saa 10:00

SpotiHausi ni kipindi cha #michezo kinacholetwa kwako na #GlobalTVOnline kila #Alhamisi saa 10:00 jioni, leo usikose kutazama wachambuzi wa kipindi hiki, watakuchambulia yafuatayo:-
-Watachambua mechi za Simba dhidi ya Kagera Sugar na Singida United.
-Watachambua mwenendo wa timu ya Yanga Ligi Kuu Bara.


Comments are closed.