The House of Favourite Newspapers

Uhusiano wa Kimapenzi wa 2 Chainz Wazua Gumzo

2 chainz na Kesha Ward

MAPE-NZI hew-ni! Ndivyo unaweza kusema kufuatia kile alicho-kionesha rapa mkali kutoka Marekani, 2 Chainz hivi karibuni kwenye Ukumbi wa Met Gala, kulipokuwa na maonesho ya mitindo baada ya kumvisha pete ya dhahabu mkewe, Kesha Ward.

2 Chainz na Kesha wameoana kuanzia mwaka 2013 na wamebahatika kupata watoto watatu na maisha yao ya kimapenzi yamekuwa kivutio hasa kwa mashabiki wao.

Baada ya tukio hilo la 2 Chainz kumvalisha pete ya dhahabu mkewe huku akiwa amepiga goti moja chini, mashabiki wengi walikomenti kwenye mitandao ya kijamii kuwapongeza na hasa kwa kuwa kwenye ndoa ambayo haina skendo za kuwadh-aririsha.

NEW YORK, MAREKANI

 

 

Comments are closed.