The House of Favourite Newspapers

Uongozi wa Simba Wamsamehe kiungo wake Clatous Chama

0

Uongozi wa Simba umemsamehe kiungo wake Clatous Chama kutokana na makosa ya utovu wa nidhamu yaliyokuwa yakimkabili na Februari 01 atajiunga na wenzie kambini kwa ajili ya michezo ya mzunguuko wa pili wa ligi pamoja na maandalizi ya mchezo wa CAFCL dhidi ya Asec Mimosas utakaochezwa nchini lvory Coast.

Clatous Chama atakuwepo kwenye michezo miwili ya ugenini ya viporo Simba SC dhidi ya Mashujaa FC na Tabora United lakini hatakuwa sehemu ya mchezo wa Januari 31.

Leave A Reply